tiko
tiko
JAJI
Thokozile Masipa ametupilia mbali rufaa ya mwanariadha anayehudumia
kifungo cha miaka mitano jela kwa kumuua mpenzi wake, Oscar Pistorius
huko Afrika Kusini.
Rufaa hiyo iliwasilishwa na makili wa mwanariadha huyo ambaye ni mlemavu wa miguu.
Jaji Masipa ametoa uamuzi huo katika Mahakama ya Johannesburg nchini Afrika Kusini kwamba ombi hilo likataliwe.
Pistorius akiwa kazini.
Pistorius
alimpiga risasi na kumuua mpenziwe Reeva Steenkamp mwezi Februari 2013
na kuhukumiwa kwenda jela miaka mitano kwa kuua bila kukusudia.
tiko
tiko
Post a Comment