tiko
tiko
Ommy Dimpoz na Wema Sepetu walichukua headlines kwa zaidi ya mwezi mmoja kwenye mitandao ya kijamii baada ya kusambaa kwa picha zenye utata zikiwaonyesha wakiwa mapenzini na ikapelekea watu kujua labda Ommy ameamua kurithi kiti cha Diamond Platnumz.
Kumbe ilikua ni video mpya ya Ommy aliyokwenda kuifanya South
Africa na imemuhusisha Idriss wa BBA pia, itazame hapa chini alafu
uniachie comment yako.
tiko
tiko

Post a Comment