tiko
tiko
MOTO mkali umeunguza bweni la Block B la
hosteli ya Mabibo jijini Dar es Salaam muda huu. Chanzo cha moto huo na
bado hakijafahamika.
Baadhi ya wanafunzi wanafanya jitihada
za kuokoa mali zilizopo katika bweni hilo. Mpaka tunapokea taarifa hizi,
hakuna kikosi chochote cha zimamoto kilichokuwa kimefika eneo la tukio.
tiko
tiko
Post a Comment