tiko
tiko

Mtu
moja ambaye hajajulikana bado jina lake ameteketezwa kwa moto na
wananchi wenye hasira kali baada ya kumpasua kichwa mtoto wa dada yake
na kufariki dunia papo hapo kwa kutumia sururu kichwani ambae alikua
akiishi naye maeneo ya Nsalaga Uyole sababu hazijajulikana.

Mwili wa mtu huyo ukichochewa na kuni za mabanzi ili kuuteketeza kabisa.
Taarifa
kamili tutaitoa baada ya polisi kufanya uchunguzi wa tukio hii maana
ndio wamefika eneo la tukio. Picha za mtoto hazifai kuziweka hapa!
tiko
tiko
Post a Comment