Realtime blog statistics Realtime blog statistics
Scanning..

Featured MTOTO WA AJABU AZALIWA SHINYANGA, HANA MDOMO, PUA NA MASIKIO YAKO SHINGONI... TUNAOMBA RADHI KWA PICHA

tiko tiko

Mwanamke mmoja mkazi wa manispaa ya Shinyanga amejifungua mtoto wa ajabu wa kike asiyekuwa na mdomo wala pua huku masikio yake yakiwa shingoni katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Shinyanga.

 Mganga mfawidhi wa hospitali ya mkoa wa Shinyanga  Dkt Mfaume Salum amesema mtoto huyo alizaliwa jana saa moja asubuhi na alifariki muda mfupi baadaye kutokana na kasoro alizokuwa nazo.
Mwandishi wa habari Nunu Abdul amefuatilia kwa ukaribu zaidi habari hii,Tutawaletea habari kamili hivi punde,ikiwemo sababu za kuzaliwa kwa watoto wa namna hiyo.
tiko tiko

Post a Comment

CodeNirvana
© Haki Zote Zimeifadhiwa Kalamu 1 | designed by tabasamu na ∂αиιєℓι
Code Nirvana
Back To Top