tiko
tiko
Aliyekuwa
memba wa kundi la Chamber Squad, Moses Bushagama ‘Mez B’ ambaye
amefariki jana mjini Dodoma anatarajiwa kuzikwa Jumatatu katika makaburi
ya Wahanga yaliopo Maili Mbili mjini Hapo.
Mtandao huu uliongea na mama wa marehemu, Marry Mkandawile ambaye alisema kuwa kwa sasa msiba upo maeneo ya Kisasa mjini Dodoma.
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI KUHUSU HABARI HII
tiko
tiko
Post a Comment