tiko
tiko
Jana February 1 ilikuwa tukio jingine
zuri kwenye burudani Dar es Salaam, kwa mara ya pili tulishuhudia wakali
na wakongwe wa Hiphop Bongo, WATEULE wakiangusha bonge la show Club 71, Tegeta Dar es Salaam.
Hili lilikuwa tukio la kihistoria,
kuwakutanisha wakali hao kwa mara nyingine kwenye stage moja ndani ya
2015 ambapo safari hii ilikuwa wakiazimisha miaka 15 ambapo fans
walipata nafasi ya kuenjoy ngoma kibao za mastaa wa kundi hilo.
Mastaa wengine waliokuwa na mastaa hawa ni pamoja na MTo The P, Dayna, na Mansuli.
Hapa kuna pichaz zote kutoka kwenye show hiyo.
MTothe P
Mchizi Mox
Jafarhymes
Jay Moe.
Soggy Dogg.
Msanii ROMA akiwa na fans wake stejini.
Msanii Dayna
ROMA, Dayna na Mchizi Mox
Mansuli
Jafarhymes, Dayna wakiwa na shabiki wao.
tiko
tiko
Post a Comment