Realtime blog statistics Realtime blog statistics
Scanning..

Baada ya mazishi ya baba yao P Square, Peter alitumia muda huu na marafiki zake…

tiko tiko
.
Jennifer Enwemnwa, mfanyabiashara Abdulsamad Rabiu, Freda Francis Edewor, Lola Omotayo na Peter Okoye
Siku ya Ijumaa January 30 ndugu jamaa na marafiki wa familia ya mzee Moses Okoye walikutana kwenye mazishi ya mzee huyo ambaye ni baba mzazi wa mastaa wa muziki kutoka Nigeria, Peter na Paul OkoyeP Square‘, mazishi hayo yamefanyika miezi miwili tangu mzee huyo afariki kwa kuanguka akiwa anashuka ngazi ndani ya nyumba.
.
Peter akiwa na mkewe pamoja na marafiki zake.
Baada ya kufanyika kwa mazishi hayo, Peter aliamua kujumuika na familia yake pamoja na marafiki zake ikiwemo mfanyabiashara mkubwa wa Nigeria, Abdulsamad Rabiu ndani ya boti yao.
Hizi ni baadhi ya picha zikimuonyesha Peter pamoja na mkewe Lola Omotayo wakifuraji.
peter2
peter3
peter
peter9
peter6
peter5
Peter I
Peter II
.
Mfanyabiashara Abdulsamad Rabiu na Peter Okoye.
Hakuna story itakayokupita mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi
tiko tiko

Post a Comment

CodeNirvana
© Haki Zote Zimeifadhiwa Kalamu 1 | designed by tabasamu na ∂αиιєℓι
Code Nirvana
Back To Top