Realtime blog statistics Realtime blog statistics
Scanning..

RAIS MUGABE ATIMIZA MIAKA 90

tiko tiko
Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe.
Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe ametimiza miaka 91 leo.
Mugabe amekuwa ni kiongozi mzee kabisa duniani kwa kuwa madarakani kwa miaka 35.
Sherehe ya siku yake ya kuzaliwa inategemewa kufanyika wiki ijayo katika Uwanja wa Golf, Victoria Falls.
Sherehe hiyo ambayo itakuwa kubwa na kuhudhuriwa na maelfu ya watu, inaelezwa kugharimu kiasi cha dola milioni moja.

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI KUHUSU HABARI HII

tiko tiko

Post a Comment

CodeNirvana
© Haki Zote Zimeifadhiwa Kalamu 1 | designed by tabasamu na ∂αиιєℓι
Code Nirvana
Back To Top