Mwili wa marehemu Mzee Sykes ukiingizwa kwenye gari tayari kwa ajili ya mazishi makaburi ya Kisuti jijini Dar.
Baadhi ya waombolezaji wakiwa nyumbani kwa kaka wa marehemu Kawe Beach, Dar.Mama yake Dully akifarijiwa.Dully akiwa na watoto wake.Dully akijifuta machozi huku akiongea na ndugu zake.Dully Sykes (wa pili kutoka kulia) na Christian Bella (kulia).Babay Madaha na Isabella Mpanda wakiwa msibani.
Post a Comment