tiko
tiko

ZILIZOTUFIKIA:KUTOKA GEITA
Jeshi la polisi mkoani Geita limetumia mabomu ya machozi
kuwatawanya wananchi waliofunga barabara ya Katoro na
kujeruhi abiria waliokuwa katikamagari baada ya mwanafunzi
kugongwa wiki iliyopita na kufariki Dunia.
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI KUHUSU HABARI HII
tiko
tiko
Post a Comment