Waziri
wa uchukuzi amemsimamisha kazi mkurugenzi mkuu wa bandari Bwana madeni
kipande kwa tuhuma za kukiuka maadili ya utoaji wa tenda na kuchelewesha
zabuni zilizokuwa zinashinda kadhalika waziri huyo pia ameunda tume ya
watu sita kumchunguza mkurugenzi huyo.
Post a Comment