tiko
tiko
Mwimbaji wa muziki wa Bongo Fleva ambaye anamahusiano ya kimapenzi na mjasiriamali wa Uganda 'Zari Hassa',Nasib Abdul aka Diamond Platnumz ameshare picha namna walivyo jiachilia visiwani Zanzibar kwenye siku ya wapendanao pamoja na weekend yao ilivyokuwa.Maneno ya Diamond kuhusiana na kujiachilia huko ameandika kuwa "She had never been to zanzibar so i had to take her there to experience the beauty of Tanzania...
(Alisema hajawai fika Zanzibar, imebidi nimlete ili ajionee uzuri wa Tanzania yetu...) jus #earlierToday #ValentineWeekEndInZanzibar".
Tizama picha hapa chini.
BOFYA HAPA PICHA ZAIDI
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI KUHUSU HABARI HII
tiko
tiko
Post a Comment