tiko
tiko
Mpenzi
wa muigizaji wa filamu, Vincent Kigosi aka Ray, Chuchu Hans amekanusha
uvumi kuwa amepigwa chini na Ray na kudai kuwa hategemei kama watakuja
kuachana.Chuchu amekiambia kipindi cha Take One cha Clouds TV kuwa wameamua ...
kubadilisha aina ya maisha yao kwa kutopiga picha hovyo na kuweka mitandaoni.
“Sifikirii hicho kitu kuachana na Ray kiukweli sifikirii na kila kitu kinaenda kwa riziki na kama riziki yangu itakuwa imeisha basi nitaikubali hali. Lakini sifikirii hicho kitu kabisa,” alisema Chuchu ambaye naye pia ni muigizaji wa filamu.
Mtasubiri Sana..
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI KUHUSU HABARI HII
tiko
tiko
Post a Comment