tiko
tiko
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa mfalme wa Saudi Abdullah bin Abdulaziz amefariki dunia akiwa hospitalini .
Tamko la kifo cha mfalme huyo zilitolewa na kaka wa mfalme huyo aitwaye , Salman,ambaye naye aliwahi kuwa mfalme.Kabla
ya tamko hilo television ya taifa la Saudi lilikatiza matangazo yake na
kuweka nyimbo za quraan ,kama ishara ya kifo cha kiongozi wa juu wa
ufalme.
King
Abdullah, amefariki dunia akiwa na miaka 90, alilazwa hospitalini kwa
wiki kadhaa tangu December mwaka wa jana kutokana na maambukizi kwenye
njia ya hewa.
Mfalme huyo aliingia madarakani mwaka 2005 lakini alikuwa ni dhaifu mwenye kushambuliwa na maradhi mara kwa mara.
tiko
tiko
Post a Comment