Arsenal
wamemasajili kiungo Krystian Bielik kutoka klabu ya Legia Warsaw ya
Poland kwa pauni milioni 2.4. Bielik, 17, ambaye alifanya vipimo vya
afya wiki iliyopita, alihamia Legia akitokea Lech Poznan mwaka jana na amecheza mara sita msimu huu. Arsenal wamesema mkataba huo "utakamilika baada ya
Post a Comment