tiko
tiko
Askari
wa Kikosi cha Kutulia Ghasia (FFU), akijaribu kumwokoa mtu
aliyejulikana kwa jina la Mariano Haruna baada ya kupewa msukosuko na
wananchi wenye
hasira, ambaye alidaiwa kuletwa
kuapishwa kinyemela kama Mwenyekiti wa Mtaa wa Kigogo Fresh Kata ya Pugu
(CCM), wakati wa zoezi la kuwapisha lililofanyika jijini Dar es Salaam
Haruna akiondolewa katika ofisi za Manispaa ya Ilala.
Askari akilazimika kumuondoa katika ofisi za Manispaa ya Ilala ampako zoezi la kuwaapisha wenyeviti lilikuwa likiendelea.
tiko
tiko
Post a Comment