tiko
tiko
Gari dogo aina ya Toyota Mark ii lenye
namba za usajili T 601 AHG, likiteketea kwa moto eneo la Makumbusho
Usalama kama lilivyonaswa na kamera ya Sufianimafoto jana jioni. Chanzo
cha ajali hiyo hakikuweza kufahamika mapema.
Gari hilo likiendelea kuteketea kw moto.
Kama kawaida ya wabongo wasiokuwa wanahabari rasmi wakinasa matukio ili kusambaza katika mitandao.
Foleni ya magari katika eneo hilo kila
dereva akijaribu kushangaa huku moto ukizidi kuliteketeza gari dogo aina
ya Toyota Mark ii lenye namba za usajili T 601 AHG eneo la Makumbusho
Raia wakishuhudia tukio hilo wakati gari
dogo aina ya Toyota Mark ii lenye namba za usajili T 601 AHG,
likiteketea kwa moto. Picha kwa hisani ya Sufiani Mafoto.
tiko
tiko
Post a Comment