tiko
tiko
Baada ya kuona hili la kumpata Mtuhumiwa
linashindikana bodaboda waliamua kuitana kila wanapopita ili kwenda
nyumbani kwa mtuhumiwa ili wachome moto nyumba yake.
Tukio
hili limewashtua wakazi wengi waliokuwa hawajui na kuja eneo la Msalala
road kuangalia kulikoni huku jeshi la polisi likihakikisha hali ya
usalama inaendelea kuimarika.
Mtuhumiwa
Juma Itibango alikuwa akifanya biashara katika soko la Mjini Geita, na
kama haitoshi eneo lake la biashara lilivamiwa na kila mtu kuchukua
alichoweza na hata baadhi ya wafanyabiashara walibebewa mali zao.
Hata
hivyo waendesha bodaboda walilitaka jeshi la polisi kutopuuza matukio
wanayoyapata kwani mara kadhaa wamekuwa wakiuwawa lakini wanadai hatua
za haraka hazichukuliwi.
Mtuhumiwa
Itibango jana asubui alionekana na bodaboda ambayo inadaiwa iliibiwa
ndipo mwenye mali alimuona na kuwaita wenzake ili kujinusuru Juma
alikimbia akiwa na abiria ambaye katika kukimbia walianguka na abiria
kuumia.Waendesha
Pikipiki mjini Geita wameizingira ofisi ya Polisi Mkoa baada ya mtu
wanayemtuhumu kuhusika kwenye matukio ya wizi na mauaji ya waendesha
bodaboda kukimbilia polisi kujisalimisha.
Waendesha
bodaboda hao ambao wamekaa kwa muda nje ya ofisi hiyo wamefikia maamuzi
ya kwenda nyumbani kwa mtuhumiwa ili wachome nyumba yake wakidai
mtuhumiwa huyo amekuwa akikamatwa na kuachiwa.
Ilikuwa
ni majira ya saa tatu asubuhi waendesha wakija mmojammoja nje ya ofisi
ya polisi Mkoa wengi wao wakitaka mtuhumiwa aachiwe ili wajichukulie
sheria mkononi.
Baada
ya kuona hili la kumpata Mtuhumiwa linashindikana bodaboda waliamua
kuitana kila wanapopita ili kwenda nyumbani kwa mtuhumiwa ili wachome
moto nyumba yake.
Tukio
hili limewashtua wakazi wengi waliokuwa hawajui na kuja eneo la Msalala
road kuangalia kulikoni huku jeshi la polisi likihakikisha hali ya
usalama inaendelea kuimarika.
Mtuhumiwa
Juma Itibango alikuwa akifanya biashara katika soko la Mjini Geita, na
kama haitoshi eneo lake la biashara lilivamiwa na kila mtu kuchukua
alichoweza na hata baadhi ya wafanyabiashara walibebewa mali zao.
Hata
hivyo waendesha bodaboda walilitaka jeshi la polisi kutopuuza matukio
wanayoyapata kwani mara kadhaa wamekuwa wakiuwawa lakini wanadai hatua
za haraka hazichukuliwi.
Mtuhumiwa
Itibango jana asubui alionekana na bodaboda ambayo inadaiwa iliibiwa
ndipo mwenye mali alimuona na kuwaita wenzake ili kujinusuru Juma
alikimbia akiwa na abiria ambaye katika kukimbia walianguka na abiria
kuumia.
tiko
tiko
Post a Comment