tiko
tiko
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya
linawashikilia watu wawili wanaodaiwa kuwa ni Matapeli kwa kutumia
kivuli cha waganga wa tiba mbadala,baada ya kumtapeli mzee AGOSTINE
KADUNDA mkazi wa kijiji cha Igunguli Mtera wilaya ya Dodoma Vijijini.
Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Mbeya AHMED MSANGI amewataja watuhumiwa hao kuwa ni ALEX KAPALANAKA na EFRAHIMU MWAIJEJE wote wakazi wa Mbeya mjini
Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Mbeya AHMED MSANGI amewataja watuhumiwa hao kuwa ni ALEX KAPALANAKA na EFRAHIMU MWAIJEJE wote wakazi wa Mbeya mjini
Hivi karibuni Mamlaka ya Chakula na Dawa Nchini imekuwa ikitoa elimu juu ya Tiba mbadala, hasa kwa wale wanaofanya uganga kwa kupiga ramuli kwamba hairuhusiwi
Kutokana na tukio hili la utapeli Kamanda Msangi ametangaza oparesheni maalum kwa mkoa mzima wa Mbeya
tiko
tiko
Post a Comment