tiko
tiko
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wajumbe mbalimbali
na wa wana CCM wakati alipowasili wilaya ya Kiembesamaki wilaya ya
Dimani mkoa wa Mjini Magharibi jana.
Mwenyekiti
wa CCM Mkoa wa Mjini Magharibi Yusuf Mohamed Yusuf akimkaribisha Ndugu
Abdulrahman Kinana ili kuongea na wajumbe wa halmashauri ya wilaya ya
Dimani.
Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, kulia Vuai Ali Vuai Naibu
Katibu Mkuu Zanzibar na kushoto ni mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Bi.
Khadija Abood wakiwa katika mkutano huo.
Mjumbe wa Kamati kuu wa CCM Mh. Balozi Seif Ali Idd akizungumza katika mkutano huo wa ndani.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wajumbe hao hawapo pichani. |
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Kirtkumar Dave
Meneja wa Kiwanda cha maziwa cha Azam kilichopo Fumba Unguja wakati
alipotembelea kiwanda hicho na kukagua shughuliza uzalishaji kiwandani
hapo.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo ya Meneja wa kiwanda cha maziwa cha Azam Bw.Kirtkumar Dave.
SEhemu ya mitambo ya uzalishaji wa kiwanda hicho.
Meneja wa kiwanda hicho Kirtimar Kumar akimueleza jambo Katibu Mkuu wa CCM kuhusu uzalishaji wa kiwanda hicho.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia baadhi ya maziwa yaliyozalishwa kiwandani hapo.
Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM akishiriki kupatkia katoni za maziwa kwenye kiwanda hicho.
Meneja wa kiwanda hicho Kirtimar Kumar akimzawadia katoni ya maziwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.akipokelewa na Profesa David Mfinaga Naibu wa Makamu Mkuu wa chuo cha UDSM wakati |
alipotembelea chuo Sayansi ya Bahari Shakani.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana. akizungumza na baadhi ya wanafunzi na wafanyakazi wa chuo hicho. |
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kusafisha eneo la chuo
hicho kinachoendelea kupanuliwa , kulia ni Profesa David Mfinaga Naibu
wa Makamu Mkuu wa chuo cha UDSM na kushoto ni Ndugu Vuai Ali Vuai Naibu
Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua majengo ya chuo hicho
huku akiongozwa na Profesa David Mfinaga Naibu wa Makamu Mkuu wa chuo
cha UDSM katikati ni Desiderius Masalu Mkurugenzi wa Taasisi ya Sayansi
za Bahari.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiondoka chuoni hao.
Msafara wa Katibu Mkuu ukikatiza katika msitu.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kupanda mikoko huko
Fumba kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mjini Magharibi Yusuf Mohamed
Yusuf.
Hapa akishiriki zoezi la uhifadhi wa Kaa.
Akizindua Gari la wagonjwa Ambulance.
Wananchi na wana CCM wakinyanyua mikono yao juu wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Magereza.
Balozi Ali Karume akiwahutubia wananchi katika mkutano huo.
Umati wa wananchi waliojitokeza katika mkutano huo kwenye viwanja vya Magereza.
Nape Nnauye akiwahutubia wananchi katika mkutano huo.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara kwenye viwanja vya Magereza Zanzibar
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwaongoza wana CCM wapya kula
kiapo mara baada ya kukabidhiwa kadi zao zauanachama.
tiko
tiko
Post a Comment