Realtime blog statistics Realtime blog statistics
Scanning..

Staa mwingine wa Bongo aliyekuja na biashara yake mwenyewe.

tiko tiko
mchongoInawezekana kwa juhudi zinazoonyeshwa na mastaa wetu wa Tanzania kwa sasa zikatengeneza njia kwa wengine ambao watataka kuwekeza kwenye biashara.
List kamili ya mastaa wa Tanzania ambao wameamua kufanya biashara nyingine mbali na kazi zao ulizowazoea wakifanya nitakuletea siku sio nyingi mtu wangu.
ray c
Lotion za Ray C.
Ray C ambaye Tanzania,Afrika na Dunia tumemjua kupitia muziki sasa ameamua kuja kitofauti mbali na muziki anaoufanya,ameamua kuja na vipodozi vyake.
Vipodozi hivi  ni lotion ambazo ameamua kuja navyo,hii imekua pia kwa Kidoti ambaye amekuja na kandambili(ndala) na Dina Marious ambaye yeye ana mafuta yake anauza ya Nazi kwa ajili ya watoto wadogo.
dinna
Mafuta ya Nazi ya watoto wadogo yanayouzwa na Dina Marious.
kidot
Ndala za Jokate.
tiko tiko

Post a Comment

CodeNirvana
© Haki Zote Zimeifadhiwa Kalamu 1 | designed by tabasamu na ∂αиιєℓι
Code Nirvana
Back To Top