tiko
tiko
Hii ni video iliyokuwa inazungumziwa sana baada ya kusambaa kwa picha ambazo zilikuwa behind the scene zikimuonyesha Vanessa Mdee na Jux ambao kumekuwa na story kwamba wana uhusiano wa kimapenzi.
Imetoka na imeongozwa na director Zed Benson, karibu uitazame hapa mtu wangu.
Bonyeza play kutazama.
Unahitaji kupata kila story inayonifikia mtu wangu? Ni rahisi sasa, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook, jiunge na mimi
tiko
tiko
Post a Comment