tiko
tiko
Wanachama watano (5) wa klabu ya Simba ya Dar es salaam kutoka tawi la
Mpira na Maendeleo (maarufu kama Simba UKAWA) ambalo limewahi kutangazwa
kufuta wamefariki dunia katika ajali ya basi mkoani Morogoro.
Wanachama hao wakiwa katika basi lao walikuwa wakielekea Shinyanga kwa
ajili ya kuipa nguvu Simba ambayo inatarajiwa kushuka katika dimba la
CCM Kambarage kuikabili Kagera Sugar katika mchezo wa ligi Kuu Tanzania
Bara..
tiko
tiko
Post a Comment