tiko
tiko

Watu wawili wamefikishwa katika Mahakama
ya Hakimu Mkazi Kisutu wakidaiwa kutoa mafunzo ya ugaidi kwa vijana wa
Tanzania mkoani Tanga. Mmoja wao anaelezwa kuwa alikuwa pia akitoa
mafunzo ya jeshi kwa kundi la Hizbul al lililotaka kuipindua serikali ya
Somalia mwaka 2010.
Washtakiwa hao, Ally Nassoro au Dk. Sule
na Juma Zuberi au Kitambi, walifikishwa jana katika mahakama hiyo mbele
ya Hakimu Mkazi, Hellen Riwa.
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI KUHUSU HABARI HII
tiko
tiko
Post a Comment