tiko
tiko
Sakata la Uanzishwaji wa Mahakama ya Kadhi limeendelea kuitikisa Nchi hasa kutokana na matamko mbalimbali yanayotolewa na viongozi wa Kiroho.
Hivi Karibuni, Baraza la Maaskofu Tanzania lililotoa tamko kuwataka wakristo wote nchini wapige kura ya Hapana katiba inayopendekezwa kwa sababu serikali inaianzisha kulipa fadhila kwa waislam....
Baada
ya tamko hilo,Askofu mkuu wa kanisa katoliki Tanzania naye
aliibuka na msimamo mpya akipingana na maaskofu wenzie.....
Kauli hiyo imemfanya Askofu Gwajima aibuke na matusi mazito kwa Askofu Pengo.
tiko
tiko
Post a Comment