tiko
tiko
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete Jumapili, Machi 29, 2015 amewasili jijini New York, Marekani kwa mwaliko wa Umoja wa Mataifa.
Miongoni
mwa mambo mengine, Rais Kikwete amefunguia rasmi jengo la ghorofa sita
la Ofisi za Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika umoja wa Mataifa, na
Jumatatu Machi 30, 2015 amealikwa kuhutubia Baraza la Umoja wa Mataifa
la Uchumi na Jamii (ECOSOC - UN).
Rais
Kikwete akilakiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimatifa Dkt Mahadhi Juma Maalim alipowasili jijini New York, Marekani.
Rais Kikwete akisalimiana na Waziri wa WAZIRI wa Kazi na Ajira, Mhe. Gaudensia Kabaka anayefuatiwa na Waziri wa Fedha wa Zanzibar Mhe. Omar Yussuf Mzee ...
Jengo la ghorofa sita la Ofisi za Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani
Rais
Kikwete akikata utepe kufungua rasmi jengo la ghorofa sita la Ofisi za
Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika umoja wa Mataifa jijini New
York, Marekani
tiko
tiko
Post a Comment