Nimemfatilia channel ten wakati
akiongoza ibada huku akishangiliwa na mamia ya waumini wake.. Kati ya
mambo yaliyonistaajabisha ni lugha ya matusi.
Anasema habari ya
mjini kwa sasa ni kusali.. Ila anamalizia kwa kuwaambia vijana wanaosema
kila siku ni yale yale kanisani kwamba ''ibada haifanani acha ufala''.
Post a Comment