tiko
tiko
ALIYEKUWA mume
wa mwanamitindo maarufu Bongo, Jacqueline Patrick, ambaye kwa sasa yuko
jela nchini China, Abdulatif Fundikira amesifu penzi analopata kutoka
kwa mkewe ambaye alikuwa Miss Tanzania 2010, Salha Israel.
Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni, kijana huyo maarufu kama Tiff,
alisema hajawahi kujua utamu wa ndoa kama sasa kwani mapenzi anayopata
toka kwa mkewe ni ya kiwango cha juu.
“Siwezi kukuficha, najisikia raha sana na ninaweza kusema naona raha ya
ndoa hivi sasa na kamwe siwezi kujuta kumuoa Salha kwa kuwa ni mwanamke
ambaye anajua kumjali mume, namshukuru sana Mungu kunipa mke ambaye ni
wa maisha yangu,” alisema.
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI KUHUSU HABARI HII
tiko
tiko
Post a Comment