tiko
tiko
Msanii wa Bongo Fleva,Khadija Shabani’Keisha’ amenusurika kifo baada ya kupata ajali maeneo ya Maktaba,Posta jijini Dar.
Akizungumza na Paparazi alisema kuwa alikuwa akitoka chuoni CBE na kwamba alikuwa akimfuata mumewe alipofika maeneo hayo ndipo lilipotokea gari na kumuovateki na kuligonga gari lake. Aidha alisema kuwa alisikia maumivu na alipokwenda hospitali kufanyiwa vipimo vilionyesha hakupata majeraha kwa ndani.
‘’Nashukuru
Mungu nilipimwa hospitali vipimo vilionyesha sikupata madhara yoyote
kwa ndani kwani nilikuwa na wasiwasi labda niliumia kwa ndani,’alisema
Keisha.
tiko
tiko
Post a Comment