tiko
tiko
SEHEMU YA KITI ALIPOKAA NA KUPIGWA RISASI,
Habari
zinasema kuwa polisi mkoani dar es salaam jana mchana walifanikiwa
kuwatia mbaroni majambazi wawili ambao inasemekana ni raia wa italia
baada ya kupora kiasi cha dola elfu kumi kwa mwananchi ndipo polisi
walipoanza mapambano nao na hadi kuwatia nguvuni baada ya luwadhibiti na
risasi.PICHA ZOTE KWA MSAADA WA http://tabasamunadaniel.blogspot.com/
WAKIWA NJE YA APARTMENT YAO WALIKOKIMBILIA |
GARI WALIYOTUMIA KUPORA |
POLISI WAKIWATIA KWENYE GARI MARA BAADA YA KUWATIA NGUVUNI
AKIONYESHA KOVU ALILOPIGWA RISASI
WAKIPANDISHWA KWENYE GARI WOTE WAWILI
tiko
tiko
Post a Comment