tiko
tiko
MSANII wa
filamu Bongo, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ amefunguka kuwa anaamini amepigwa
‘juju’ kutokana na kuugua ugonjwa ambao haukutambulika hospitalini.
“Roho inaniuma sana yaani ni jinsi gani
wasanii tulivyokuwa hatupendani, ghafla tu nilipofika nyumbani baada ya
kutokea Moro kwenye dili la kazi hali yangu ilibadilika, nikahisi kichwa
kuniuma sana na maumivu makali tumboni, nilipoenda hospitali niliambiwa
sina tatizo ikanilazimu nitafute mtaalamu na kuyabaini hayo maana lengo
lao walitaka kunimaliza, nashukuru Mungu kwa sasa nimepata nafuu,”
alisema Bozi.
tiko
tiko
Post a Comment