tiko
tiko
MODO maarufu
Bongo, Agness Gerad ‘Masogange’ ameshtushwa na ushindi wa makalio yake
baada ya kutojua kama ametajwa kuwa ni mwanamke mwenye makalio mazuri
Afrika Mashariki.
Masogange alishinda nafasi hiyo kupitia
utafiti uliofanywa na mtandao wa Media Take Out ambapo kwa kutumia
vigezo vyao, walimwanika Masogange kuwa ndiye mwanamke pekee mwenye
makalio bomba wakidai amejengeka vizuri zaidi.
“Daah! Mimi mwenyewe nilikuwa sijui, nashukuru kama wao wameona mimi ndiyo mwenye kiungo hicho muhimu cha kuvutia na bora kwa wanawake wengine wote,” alisema Masogange ambaye kwa sasa amehamishia makazi yake nchini Afrika Kusini.

Post a Comment