tiko
tiko
BASI
la Arusha Express limepata ajali leo maeneo ya Uwanja wa Ndege wa
Kisongo jijini Arusha wakati likijaribu kulipita gari ligine na kukutana
na lori mbele yake.
Ili kuepesha madhara, dereva wa lori aliamua kuingia kichakani ili asigongane uso kwa uso na basi hilo.
Katika ajali hiyo, hakuna aliyepoteza maisha isipokuwa watu ndani ya lori ndiyo wamejeruhiwa na kukimbizwa hospitali.
tiko
tiko
Post a Comment