tiko
tiko
Wiki mbili zimepita tangu afariki, alikuwa staa wa movie za Nigeria, Muna Obiekwe
ambapo sababu ya kifo chake imetajwa kuwa ni tatizo la figo ambapo
hakuhitaji kuchangiwa chochote ili akapatiwe matibabu, mipango yake
ilikuwa afanye event ili kile atakachokipata akafanye matibabu.
Mastaa mbalimbali, ndugu, jamaa na
marafiki walikutana jana katika Jimbo la Anambra, Nigeria kufanya
mazishi ya staa huyo jana February 3.
Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi
tiko
tiko
Post a Comment