tiko
tiko
Kamanda
wa polisi mkoa wa Morogoro Leonard Paulo amesema jeshi la polisi
lilifika katika eneo la tukio nakufanikiwa kuwakamata watu watatu
wanasadikiwa kujihusisha na tukio hilo na linaendelea kuwahoji kisha
watafikishwa mahakamani.
Aidha
kamanda Paulo amesema jeshi la polisi linaendelea kumtafuta mtuhumiwa
aliye kimbia ambapo katika hatua nyingine wamefanikiwa kumkamata hawara
wa mtu huyo aliyejulikana kwa majina ya Husuna Isimaeli mkazi wa mkindo
ambaye alikuwa akimhifadhi mtuhumiwa na jeshi la polisi litaendelea
kumshikilia kwa mahojiano ilikumpata mtuhumiwa aliye kimbia.
tiko
tiko

Post a Comment