Realtime blog statistics Realtime blog statistics
Scanning..

Shamsa Ford 'Mtu Akiniiita Mshamba Atakuwa Anajisumbua tu, Hivi Ndivyo Nilivyoamua Kuishi'

tiko tiko
Mrembo na mwigizaji wa filamu, Shamsa Ford amewabwatukia baadhi ya watu ambao wanapenda kumsema kuwa yeye ni mshamba kwa kushindwa kutoka misele nyakati za usiku.
Akizungumza na GPL, Shamsa alisema anawashangaa watu hao kumsema na kumjadili kwa watu wengine kuwa yeye ni mshamba kitu ambacho hakipendi kwani kila mtu ana aina yake ya maisha aliyoyachagua kuishi.

Mimi sijawahi kumsumbua mtu hela ya kula hata siku moja kisa tu eti sijichanganyi na wanawake wa mjini, mimi familia yangu ndiyo namba moja, ndivyo nilivyoamua kuishi mtu akiniiita mshamba atakuwa anajisumbua tu,” alisema Shamsa.
tiko tiko

Post a Comment

CodeNirvana
© Haki Zote Zimeifadhiwa Kalamu 1 | designed by tabasamu na ∂αиιєℓι
Code Nirvana
Back To Top