tiko
tiko
Taarifa zinasema kuwa watu 58 walikuwa
ndani ya ndege hiyo, huku watu 16 wameokolewa na kupelekwa Hospitali na
wengine 10 bado wamenasa katika ndege hiyo ambapo waokoaji wamelazimika
kuikata ndege hiyo ili kuwaokoa watu wengi ambao bado wapo ndani.
Picha zinaonyesha ndege hiyo ikiwa
imezama kwa kiasi kikubwa katika mto Keelung, ndege hiyo ilipita karibu
na magari na kudondoka mtoni muda mfupi baada ya kuruka kutoka uwanja wa
ndege wa Songdshan, Taipei kuelekea uwanja wa ndege wa Kinmen nje ya
Taiwan huku chanzo cha ajali kikiwa bado hakijajulikana.
Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi
tiko
tiko
Post a Comment