tiko
tiko
aliyekuwa
rais wa serikali ya wanafunzi bwana Ramadhan Kirungi anashikiliwa na
Polisi Kituo cha Selander Bridge baada ya kudokoa kiasi cha shilingi 31
Milioni kwa kufoji saini ya Dean of students.Wizi huo uligunduliwa na makamu wake wa Rais ndugu Godfrey Modest (Pichani na Mheshimiwa Rashid) ambaye sasa anachukua nafasi ya Urais wa COBESO.
Baada ya polisi kufanya upekuzi nyumbani kwa mtuhumiwa, kiasi cha milioni 16 na ushee zilikutwa ndani kwake.
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI KUHUSU HABARI HII
tiko
tiko
Post a Comment