Realtime blog statistics Realtime blog statistics
Scanning..

PENZI LA AUNTY EZEKIEL NA MCHEZA DANSI MOSES IYOBO LAZIDI KUCHANUA..SOMA MESSEJI ZAO LIVE HAPA

tiko tiko
Wawili hawa Aunty Ezekiel na Moses Iyobo Mapenzi yao si ya kuficha Tena Baada ya kufanya siri kwa muda mrefu na hadi kupeana ujauzito licha ya Aunty Ezekiel kuwa bado katika Ndoa ..
Haya hapa ni maneno walioandikiana kwenye page zao za Instagram siku ya Valentine hapo juzi
Aunty Ezekiel
Happy Valentine Moo akee Baby akee boo boo wa mm Baba akee.....Jaden  Baba wa.....Umbea tyuu Nimemaliza waone kwanza @moseiyobo @moseiyobo @moseiyobo Aunty akee lv u

Moses Iyobo
Kabla Siku haijaisha hawa Ndio washkaji zang. ..THEY JUST SAY �� MY DADY IS THE BEST @auntyezekiel @jadenjerr

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI KUHUSU HABARI HII



tiko tiko

Post a Comment

CodeNirvana
© Haki Zote Zimeifadhiwa Kalamu 1 | designed by tabasamu na ∂αиιєℓι
Code Nirvana
Back To Top