tiko
tiko
Rapa Mwana FA Na mshkaji wake counsellor salaah wamehudhuria mchezo
mkubwa katika michezo ya kikapu Marekani #NBAALLSTAR, hii ni game
inayoleta pamoja wakali kutoka Easter Conference na Western Conference.
Mchezo wa kwanza wa Nba All-Star ulichezwa march 2 1951 na ilikuwa
mjini Bonton Huko Marekani.
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI KUHUSU HABARI HII
tiko
tiko
Post a Comment