Naibu Waziri wa Maji ,Amos Makala akitembelea eneo la mradi mkubwa wa Maji unaojengwa katika kijiji cha Kirya wilayani Mwanga. Naibu
waziri wa Maji Amosi Makala akizungumza jambo na meneja mshauri wa
mradi Sharif Saleh mara baada ya kukagua mitambo maalumu kwa ajili ya
maandalizi ya ujenzi wa mradi huo. Naibu
waziri wa Maji Amosi Makala akifurahia jambo na meneja mshauri wa mradi
mkubwa wa maji wa Mwanga Korogwe Sharif Salehmara baada ya kuangalia
maadalizi ya ujenzi wa mradi huo.
Post a Comment