tiko
tiko
STAA wa
sinema za Kibongo, Lungi Maulanga, amesema baada ya kufunga ndoa ya
siri Novemba, mwaka jana na Jonson, Raia wa Cameroon, walidumu kwa muda
mfupi kwenye ndoa na sasa wameachana.
Akifafanua undani wa sakata hilo, Lungi alisema alikubali kuolewa na mwanaume kwa ajili ya yeye kujipatia fedha na hakuwa akimpenda kwa dhati.
Akifafanua undani wa sakata hilo, Lungi alisema alikubali kuolewa na mwanaume kwa ajili ya yeye kujipatia fedha na hakuwa akimpenda kwa dhati.
Staa wa sinema za Kibongo, Lungi Maulanga.
“Mimi mtoto wa mjini nilikuwa naye kwa
sababu ana hela na nilijitoa fahamu hadi kufunga naye ndoa, lakini
haikuwa kama halali kwa sababu yeye si Mtanzania na nilikuwa simpendi
zaidi ya pesa zake tu, nimeshazipata, nimeachana naye,” alisema Lungi.
tiko
tiko
Post a Comment