tiko
tiko
Leo wananchi wa Zambia wanapiga kura kuchagua Rais wa nchi hiyo, baada ya kufariki kwa liyekuwa Rais wa nchi hiyo, Michael Sata ambaye alifariki mwezi October, 2014 akiwa kwenye matibabu London, Uingereza.
Chama tawala cha Patriotic Front kinawakilishwa na Edgar Lungu na Hakainde Hichilema anayewakilisha United Party for National Development kwenye uchaguzi huo.
Tume ya Uchaguzi Zambia imesema zoezi la
kuhesabu kura litaanza muda mfupi baada ya kukamilika kwa zoezi la
kupiga kura na matokeo yatatangazwa ndani ya saa 48, Rais atakayeshinda
atakaa madarakani kwa kipindi cha miezi 18 tu ili ufanyike uchaguzi mkuu
mwingine.
tiko
tiko
Post a Comment