tiko
tiko
WATUHUMIWA watatu wa sakata la akaunti
ya Tegeta Escrow wasomewa mashitaka leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi,
Kisutu jijini Dar es Salaam
Watuhumiwa hao ni pamoja na Mkurugenzi wa Fedha wa benki ya Mkombozi, Julius Ruta, Ofisa Mwandamizi wa Tanesco, Steve Urasa na Leonard Lutabingwa wa TRA anayeshitakiwa kwa makosa manne.
tiko
tiko
Post a Comment