tiko
tiko
nimeshachoka kutumikishwa na
Wahindi ....kipaji changu kingine mitindo so najisogeza kwenye mitindo
mbali mbali sio kubanana sehemu ambapo ampendani kazi majungu
nakusnchiana kila siku .. Nawahindi awatetereki maana hao mnaowaita
magwiji ndio mstari wa mbele kukandamiza .. sasa sijui lengo nini kupata
wao tuu au basi tuu roho mbaya..Nikipata majina yao yote nitawawekea na
mapicha yao..siongei kama movie star naongea kama mwananchi niaependa
sanaa iliyonishinda nakujitoa bila matangazo..I hate u wanyonyaji
nawachukia saaaaana” Wolper alimaliza
Hii ni kutokana na ule mvutano unaoendelea kuhusina na bei ya filamu za kibongo, wapo wanaosema ishuke na wengine wakitaka ibaki pale pale.
Hii ni kutokana na ule mvutano unaoendelea kuhusina na bei ya filamu za kibongo, wapo wanaosema ishuke na wengine wakitaka ibaki pale pale.
tiko
tiko
Post a Comment