tiko
tiko
Kama Bado Hujajiunga Nasi, Unaweza Kujiunga Hapa Nikutumie Habari Moja Kwa Moja ..Bofya HAPA ULIKE PAGE YETU!..
Muonekano
wa nyumba baada ya kibatari kulipuka na kupelekea watoto wawili wa
familia moja kufaliki dunia wakiwa ndani ya nyumba hiyo leo kijiji cha
Mbela Wilayani, Misungwi mkoa wa Mwanza.
Wananchi wakiwa katika hali ya huzuni mmoja wao wa pili kutoka kulia mbele akiwa amembeba mtoto aliyejeruhiwa na moto huo.
WATOTO wawili
wa familia moja, mmoja wa kike mwenye umri wa miaka minne na mwingine
wa kiume mwenye umri wa mwaka mmoja wameteketea kwa moto na mmoja
kujeruhiwa leo baada ya kibatari kulipuka na kuteketeza nyumba kijiji
cha Mbela wilayani Misungwi Mkoani Mwanza.
Kupata Habari Na Matukio Ya Kila Siku Like Page Yetu
tiko
tiko
Post a Comment