tiko
tiko
Moja ya Night Club maarufu maeneo ya Sinza Mori, Club Olimpia imeteketea kwa moto huku chanzo kikiwa hakijafahamika mpaka sasa lakini mashuhuda wanahisi imetokana na shoti ya umeme.
Mashuhuda wanasema moto ulianza kuwaka
saa 11 alfajiri, Askari wa zimamoto walifika eneo hilo katika jitihada
za uokoaji lakini tayari moto huo ulikuwa mkubwa.
Mmiliki wa Club hiyo Samwel Mwaisonga anasema hasara iliyotokana na moto huo ni kubwa kwa sababu hata vitu ambavyo viliweza kuokolewa navyo viliibiwa.
Hivi ndivyo hali ilivyokuwa katika eneo hilo.
Hapa ni wakati moto huo ukiwaka kabla ya kikosi cha Askari wa Zimamoto kufika eneo hilo. Asante mtu wangu Rosemary Ndonde kwa picha hizi mbili za mwisho.
tiko
tiko
Post a Comment