tiko
tiko
MSANII wa filamu za Kibongo, Lungi
Maulanga, amesema kuwa mpenzi wake amekuwa akimsaliti kila kukicha huku
akihisi kuwa, huenda wanawake anaowafuata huko nje wanampa mapenzi
kinyume na maumbile.
Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni Lungi alisema kuwa siku chache zilizopita alilia sana kutokana na usaliti aliofanyiwa na mpenzi wake aliyemhifadhi kwa jina, akasema aliamua kumsamehe kwa kuwa anampenda.

“Naumia sana na nalia kila ninapokumbuka
namna mpenzi wangu anavyonisaliti, sielewi ni kwa nini wakati mimi ni
mrembo na nina umbo zuri ambalo kila mwanaume akiniona lazima anitamani.
“Nashangaa mwenzangu anavyochepuka, sijui huko nje anawafuata wale wanaotoa ‘mtandao’?” alihoji Lungi na kuongeza: “Mimi siwezi kumsaliti hata iweje, najua huko nje magonjwa ni mengi.”

Post a Comment