tiko
tiko
Hi
Admin....Mimi na mume wangu tumefunga ndoa siku si nyingi , hapa tulipo
tumechanganyikiwa as tumegundua sisi ni ndugu .....Story nzima ipo hivi
..mimi nimelelewa na mama angu tu baba angu alinikataa nikiwa mdogo na
akahama nchi kwenda kuishi
Marekani ...so mimi na mama hatukuwa na mawasiliano naye kabisa mpaka
naolewa hata baba hakuusika katika shughuli...Basi juzi kati amerudi
Tanzania na akakutana na mama angu na mama akamwambia nishaolewa ...so
akataka kuja kunisalimia mimi na mume wangu ...alivyofika tu nyumbani
kwetu mume wangu akampokea kwa furaha zote na kumsalimia.
Baada
ya maongezi mengi BABA aliniita pembeni na kunieleza kuwa yule mume
wangu ni kaka yangu wa damu na alizaa na mwanamke mmoja baada ya
kuachana na mama yangu..
Hapa
nilipo nimechanganyikiwa sijui hata nifayaje...??? Sijui nimuelze mume
wangu ukweli...?? NAOMBENI USHAURI JAMANI SIJUI NIFANYE NINI....
tiko
tiko
Post a Comment